Shamim Mwasha ,launches an online competition for 5Million worth of Farming Implements


Shamim Mwasha ambassador of OXFAM
NIKIWA KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM LEO NIMEZINDUA RASMI KAMPENI YANGU YA KUHAMASISHA WANATAALUMA WASHIRIKI KATIKA KUMSAIDIA MWANAMKE  MKULIMA ILI AWEZE EPUKANA NA UMASKINI,
SHINDANO HILI LITAKUWA LINAKUHITAJI WEWE MDAU KUJAZA FOMU NA UELEZEE VIPI ULIWEZA MSAIDIA MKULIMA NA UTUAMBIE NI NINI TUMSAIDIE KUMNUNULIA CHENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO IWAPO ATASHINDA.NILIKUWA SAMBAMBA NA MWANAHAMISI SALIM MENEJA WA USHAWISHI NA UENEZI WA HAKI ZA KIUCHUMI WA GROW TANZANIA AMBAYE ANASIMAMIA KAMPENI HII YA GROW


0 comments:

Post a Comment