Leo tulitembelewa dukani na Mwakilishi wa BBA IV Elizabeth,alikuja kufanya Shopping Kiki's kwa ajili ya siku ya Final ya BBA IV..


Kiki and Elizabeth



Elizabeth akiwa na Staff wa Kiki's


Elizabeth akipose na gauni lake la Express ambalo alizawadiwa na Kiki's Fashion

0 comments:

Post a Comment